1 Corinthians 7:21 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, wewe ulikuwa mtumwa wakati ulipoitwa? Sawa, usijali; lakini ukipata fursa ya kuwa huru, itumie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, wewe ulipoitwa ulikuwa mtumwa? Jambo hilo lisikusumbue. Ingawaje unaweza kupata uhuru, tumia nafasi uliyo nayo sasa kuliko wakati mwingine wowote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Uliitwa u mtumwa? Usione ni vibaya lakini kama ukiweza kuwa na uhuru, afadhali kuutumia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Usijisikie vibaya ikiwa ulipochaguliwa na Mungu ulikuwa mtumwa. Lakini ikiwa unaweza kujikomboa, basi fanya hivyo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, wewe ulikuwa mtumwa wakati ulipoitwa? Sawa, usijali; lakini ukipata fursa ya kuwa huru, itumie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, wewe ulikuwa mtumwa wakati ulipoitwa? Sawa, usijali; lakini ukipata fursa ya kuwa huru, itumie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, wewe ulipoitwa ulikuwa mtumwa? Jambo hilo lisikusumbue. Hata kama unaweza kupata uhuru, tumia nafasi uliyo nayo sasa kuliko wakati mwingine wo wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, wewe ulipoitwa ulikuwa mtumwa? Jambo hilo lisikusumbue. Ingawaje unaweza kupata uhuru, tumia nafasi uliyo nayo sasa kuliko wakati mwingine wowote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Uliitwa u mtumwa? Usione ni vibaya lakini kama ukiweza kuwa na uhuru, afadhali kuutumia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, wewe ulikuwa mtumwa wakati ulipoitwa? Sawa, usijali; lakini ukipata fursa ya kuwa huru, itumie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama ulikuwa mtumwa ulipoitwa, usivionee uchungu! Lakini ukiweza kujikomboa jikomboe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Uliitwa u mtumwa? Usione ni vibaya lakini kama ukiweza kuwa na uhuru, afadhali kuutumia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa ulikuwa mutumwa wakati Mungu alipokuita, usihuzunike. Lakini ikiwa kuna bahati ya kupata uhuru, usiipoteze bure.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Je! ulikwitwa u mtumwa? usione ni vibaya; lakini kama ukiweza kuwa na uburu, afadhali kuutumia.