1 Corinthians 7:24 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndugu zangu, kila mmoja wenu basi, na abaki na Mungu kama alivyokuwa wakati alipoitwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndugu zangu, kama kila mtu alivyoitwa, akae katika wito wake alioitiwa na Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndugu zangu, kila mtu na akae mbele za Mungu katika hali iyo hiyo aliyoitwa nayo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndugu zangu, katika maisha yenu mapya pamoja na Mungu, kila mmoja wenu anapaswa kuendelea kuwa katika hali ya tohara kama alivyokuwa Mungu alipowaita.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndugu zangu, kila mmoja wenu basi, na abaki na Mungu kama alivyokuwa wakati alipoitwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndugu zangu, kila mmoja wenu basi, na abaki na Mungu kama alivyokuwa wakati alipoitwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndugu zangu, kama kila mtu alivyoitwa, akae katika wito wake alioitiwa na Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndugu zangu, kama kila mtu alivyoitwa, akae katika wito wake alioitiwa na Mwenyezi Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndugu zangu, kila mtu na akae mbele za Mungu katika hali hiyo hiyo aliyoitwa nayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndugu zangu, kila mmoja wenu basi, na abaki na Mungu kama alivyokuwa wakati alipoitwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndugu zangu, kila mtu hivyo, alivyokuwa hapo alipoitwa, sharti akae vivyo hivyo kwa Mungu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndugu zangu, kila mtu na akae mbele za Mungu katika hali iyo hiyo aliyoitwa nayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wandugu zangu, inafaa kila mutu akae katika ushirika wake na Mungu akibaki sawa alivyokuwa wakati alipoitwa naye.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Killa mtu, ndugu zangu, na akae katika hali hiyo hiyo aliyoitwa.