1 Corinthians 7:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu ya shida iliyopo sasa, naona ni vyema mkibaki kama mlivyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, naona hili kuwa jema, kwa ajili ya shida iliyopo, kwamba ni vema mtu akae kama alivyo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Huu ni wakati mgumu. Hivyo nadhani ni vyema mtu akikaa kama alivyo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu ya shida iliyoko, naona ni vyema mkibaki kama mlivyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu ya shida iliyoko kwa sasa, naona ni vyema mkibaki kama mlivyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, naona hili kuwa jema, kwa ajili ya shida iliyopo, kwamba ni vema mtu akae kama alivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nionavyo kuwa vizuri, ni hivi: kwa ajili ya shida hii, tuliyo nayo inamfaa mtu kukaa hivyo, alivyo:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, naona hili kuwa jema, kwa ajili ya shida iliyopo, kwamba ni vema mtu akae kama alivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu ya taabu ya siku hizi, ninafikiri kwamba ni vizuri mutu akae sawa vile anavyokuwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, naona hili kuwa jema, kwa ajili ya shidda hii tuliyo nayo, kwamba ni vyema mtu akae kama alivyo.