1 Corinthians 7:37 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kama huyo mwanamume akiamua kwa hiari moyoni mwake kutooa na kama anaweza kuzitawala tamaa zake na kuamua namna ya kufanya, basi, anafanya vizuri zaidi asipomwoa huyo mwenzake bikira.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mwanaume ambaye ameamua moyoni mwake kutooa bila kulazimishwa na mtu yeyote, bali anaweza kuzitawala tamaa zake kutomwoa huyo mwanamwali, basi anafanya ipasavyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini yeye aliyesimama kwa uthabiti wa moyo wake, hana sharti, lakini aweza kuyatawala mapenzi yake, tena amekusudia moyoni mwake kumlinda mwanamwali wake, atatenda vema.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini mwanaume mwingine anaweza kuwa na uhakika akilini mwake ya kuwa hakuna haja ya ndoa, hivyo yuko huru kufanya anachotaka. Ikiwa ameamua moyoni mwake kutomwoa mchumba wake, anafanya jambo sahihi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini kama huyo mwanamume akiamua kwa hiari moyoni mwake kutooa na kama anaweza kuzitawala tamaa zake na kuamua namna ya kufanya, basi, anafanya vizuri zaidi asipomwoa huyo mwenzake bikira.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kama huyo mwanamume akiamua kwa hiari moyoni mwake kutooa na kama anaweza kuzitawala tamaa zake na kuamua namna ya kufanya, basi, anafanya vizuri zaidi asipomwoa huyo mwenzake bikira.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama mwanaume ambaye ameshaamua moyoni mwake kutokuoa bila kulazimishwa na mtu ye yote, kama anaweza kujitawala kabisa; basi anafanya vyema kutokumwoa huyo mwanamwali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mwanaume ambaye ameamua moyoni mwake kutooa bila kulazimishwa na mtu yeyote, bali anaweza kuzitawala tamaa zake kutomwoa huyo mwanamwali, basi anafanya ipasavyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini yeye aliyesimama kwa uthabiti wa moyo wake, hana sharti, lakini aweza kuyatawala mapenzi yake, tena amekusudia moyoni mwake kumlinda mwanamwali wake, atatenda vema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kama huyo mwanamume akiamua kwa hiari moyoni mwake kutooa na kama anaweza kuzitawala tamaa zake na kuamua namna ya kufanya, basi, anafanya vizuri zaidi asipomwoa huyo mwenzake bikira.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini aliyeushikiza moyo wake ukashupaa vizuri, usiteseke, yuko na nguvu ya kuyashinda mapenzi yake mwenyewe; basi, mtu aliye hivyo akijipa moyo wa kumkataza mwanawe wa kike kuolewa, atafanya vizuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini yeye aliyesimama kwa uthabiti wa moyo wake, hana sharti, lakini aweza kuyatawala mapenzi yake, tena amekusudia moyoni mwake kumlinda mwanamwali wake, atatenda vema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini inawezekana kwa mutu yule kuchunga kusudi lake bila kushurutishwa. Akiweza kutimiza sawa na mapenzi yake, akiamua kwamba hataki kumwoa muchumba wake, basi yeye anafanya vizuri kutomwoa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini yeye aliyesimama kwa uthabiti wa moyo wake, hana sharti, lakini aweza kuitawala nia yake, tena amekusudia moyoni mwake kumlinda bikira wake, atenda vyema.