1 Corinthians 7:38 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa maneno mengine: Yule anayeamua kuoa anafanya vema; naye anayeamua kutooa anafanya vema zaidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo basi, mwanaume amwoaye mwanamwali afanya vyema, lakini yeye asiyemwoa afanya vyema zaidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, hivyo na amwozaye mwanamwali wake afanya vema; na yeye asiyemwoza atazidi kufanya vema.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo mwanaume anayemwoa mchumba wake anafanya jambo jema, na mwanaume asiyeoa anafanya vyema zaidi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa maneno mengine: yule anayeamua kumwoa huyo mchumba wake anafanya vema; naye anayeamua kutomwoa anafanya vema zaidi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa maneno mengine: yule anayeamua kuoa anafanya vema; naye anayeamua kutooa anafanya vema zaidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo basi, yeye mwanaume amwoaye huyo mwanamwali afanya vyema, lakini yeye asiyemwoa afanya vyema zaidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo basi, mwanaume amwoaye mwanamwali afanya vyema, lakini yeye asiyemwoa afanya vyema zaidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, hivyo na amwozaye mwanamwali wake afanya vema; na yeye asiyemwoza atazidi kufanya vema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa maneno mengine: Yule anayeamua kuoa anafanya vema; naye anayeamua kutooa anafanya vema zaidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo amwozaye mwanawe wa kike anafanya vizuri, lakini asiyemwoza mwanawe wa kike anafanya vizuri kumpita yule.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, hivyo na amwozaye mwanamwali wake afanya vema; na yeye asiyemwoza atazidi kufanya vema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi yule anayemwoa muchumba wake anafanya vizuri, na yule anayekataa kumwoa muchumba wake, anafanya vizuri zaidi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, amwozae bikira wake afanya vyema; na yeye asiyemwoza afanya vyema zaidi.