1 Corinthians 7:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninayowaambieni sasa ni mawaidha, si amri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nasema haya kama ushauri na si amri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini nasema hayo, kwa kutoa idhini yangu, si kwa amri.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninasema hivi ili kuwaruhusu mtengane kwa muda tu. Lakini hii siyo amri.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ninayowaambieni sasa ni mawaidha, si amri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninayowaambieni sasa ni mawaidha, si amri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nasema haya kama ushauri na si amri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nasema haya kama ushauri na si amri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini nasema hayo, kwa kutoa idhini yangu, si kwa amri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninayowaambieni sasa ni mawaidha, si amri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya nayasema, kama ninavyoyatambua mimi, lakini siyo ya kuagiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini nasema hayo, kwa kutoa idhini yangu, si kwa amri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maneno hayo ninayowaambia si amri, lakini ni ruhusa tu ninayowapa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini nasema haya, nikitoa idhini yangu; sitoi amri.