1 Corinthians 9:27 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naupa mwili wangu mazoezi magumu na kuutia katika nidhamu kamili, nisije mimi mwenyewe nikakataliwa baada ya kuwahubiria wengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
La, bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha, ili nikiisha kuwahubiria wengine, nisije nikakataliwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha; isiwe, nikiisha kuwahubiri wengine, mwenyewe niwe mtu wa kukataliwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninaudhibiti mwili wangu kikamilifu na kuufanya unitiii kwa kila jambo ninalotaka kutenda. Ninafanya hivi ili mimi binafsi nisiikose thawabu baada ya kuwahubiri wengine Habari Njema.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naupa mwili wangu mazoezi magumu na kuutia katika nidhamu kamili, nisije mimi mwenyewe nikakataliwa baada ya kuwahubiria wengine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naupa mwili wangu mazoezi magumu na kuutia katika nidhamu kamili, nisije mimi mwenyewe nikakataliwa baada ya kuwahubiria wengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
la, bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha ili nikiisha kuwahubiria wengine, mimi nisiwe mtu wa kukataliwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
la, bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha ili nikiisha kuwahubiria wengine, mimi nisiwe mtu wa kukataliwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha; isiwe, nikiisha kuwahubiria wengine, mwenyewe niwe mtu wa kukataliwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naupa mwili wangu mazoezi magumu na kuutia katika nidhamu kamili, nisije mimi mwenyewe nikakataliwa baada ya kuwahubiria wengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila nauponda mwili wangu, mpaka nguvu zake ziishie kama za mtumwa, maana mimi ninayetangazia wengine nisije kuwa mwenye kutupwa.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha; isiwe, nikiisha kuwahubiri wengine, mwenyewe niwe mtu wa kukataliwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ninatesa mwili wangu kwa mazoezi makali na kuutumikisha vikali kusudi mimi mwenyewe nisikataliwe kisha kutangaza ujumbe kwa watu wengine.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha; isiwe, nikiisha kuwakhubiri wengine, mwenyewe niwe mtu wa kukataliwa.