1 Corinthians 9:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, hatuna ruhusa kumchukua mke Mkristo katika ziara zetu, kama vile wafanyavyo mitume wengine, ndugu zake Bwana, na pia Kefa?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, hatuna haki ya kusafiri na mke anayeamini, kama wanavyofanya mitume wengine na ndugu zake Bwana Isa na Kefa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hatuna uwezo kuchukua pamoja nasi mke aliye ndugu, kama wao mitume wengine, na ndugu wa Bwana, na Kefa?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Je, hatuna haki ya kusafiri pamoja na mke aliye mwamini? Mitume wengine wote, wadogo zake Bwana na Petro hufanya hivi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, hatuna ruhusa kumchukua mke Mkristo katika ziara zetu, kama vile wafanyavyo mitume wengine, ndugu zake Bwana, na pia Kefa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, hatuna ruhusa kumchukua mke Mkristo katika ziara zetu, kama vile wafanyavyo mitume wengine, ndugu zake Bwana, na pia Kefa?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, hatuna haki ya kusafiri na mke anayeamini, kama wanavyofanya mitume wengine na ndugu zake Bwana na Kefa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, hatuna haki ya kusafiri na mke anayeamini, kama wanavyofanya mitume wengine na ndugu zake Bwana Isa na Kefa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hatuna uwezo kuchukua pamoja nasi mke aliye ndugu, kama wao mitume wengine, na ndugu wa Bwana, na Kefa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, hatuna ruhusa kumchukua mke Mkristo katika ziara zetu, kama vile wafanyavyo mitume wengine, ndugu zake Bwana, na pia Kefa?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hatuna ruhusa pote, tunapokwenda, kuchukua na mke aliye ndugu, kama wanavyofanya mitume wengine na ndugu za Bwana, hata Kefa?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hatuna uwezo kuchukua pamoja nasi mke aliye ndugu, kama wao mitume wengine, na ndugu wa Bwana, na Kefa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Au sina haki ya kusafiri pamoja na mwanamuke mukristo kama vile mitume wengine wanavyofanya, nao wandugu za Bwana na hata Petro?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)