1 Corinthians 9:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Au ni mimi tu na Barnaba ambao tunapaswa kujipatia maslahi yetu kwa kufanya kazi?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Au ni mimi na Barnaba tu inatubidi kufanya kazi ili tuweze kupata mahitaji yetu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Au je! Ni mimi peke yangu na Barnaba tusio na uwezo wa kutokufanya kazi?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na je, ni mimi na Barnaba tu ndiyo ambao ni lazima tufanya kazi ili tupate kipato cha kutuwezesha kuishi?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Au ni mimi tu na Barnaba ambao tunapaswa kujipatia maslahi yetu kwa kufanya kazi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Au ni mimi tu na Barnaba ambao tunapaswa kujipatia maslahi yetu kwa kufanya kazi?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Au ni mimi na Barnaba tu ambao tunalazimika kufanya kazi ili tuweze kupata mahitaji yetu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Au ni mimi na Barnaba tu inatubidi kufanya kazi ili tuweze kupata mahitaji yetu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Au je! Ni mimi peke yangu na Barnaba tusio na uwezo wa kutofanya kazi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Au ni mimi tu na Barnaba ambao tunapaswa kujipatia maslahi yetu kwa kufanya kazi?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Au labda mimi na Barnaba peke yetu hatuna ruhusa ya kuwapo pasipo kazi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Au je! Ni mimi peke yangu na Barnaba tusio na uwezo wa kutokufanya kazi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Au ni mimi na Barnaba tu ndio tunaopaswa kujitumikia wenyewe kwa kupata vifaa vya maisha?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Au je! ni mimi peke yangu na Barnaba tusio na uwezo kutokufanya kazi?