1 Corinthians 9:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, nasema mambo haya kibinadamu tu? Je, sheria nayo haisemi hivyo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, nasema mambo haya katika mtazamo wa kibinadamu tu? Je, Torati haisemi vivyo hivyo?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Ninanena hayo kwa kibinadamu? Au torati nayo haisemi yayo hayo?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini nina mifano mingi kutoka katika maisha ya kila siku inayosisitiza hoja yangu. Sheria ya Mungu inasema vivyo hivyo pia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, nasema mambo haya kibinadamu tu? Je, Sheria nayo haisemi hivyo?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, nasema mambo haya kibinadamu tu? Je, sheria nayo haisemi hivyo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, nasema mambo haya katika mtazamo wa kibinadamu tu? Je, sheria haisemi yayo hayo?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, nasema mambo haya katika mtazamo wa kibinadamu tu? Je, Torati haisemi vivyo hivyo?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Ninanena hayo kwa kibinadamu? Au torati nayo haisemi yayo hayo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, nasema mambo haya kibinadamu tu? Je, sheria nayo haisemi hivyo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya nayasema kimtu? Maonyo nayo hayayasemi yayo hayo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Ninanena hayo kwa kibinadamu? Au torati nayo haisemi yayo hayo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musifikiri kuwa ninasema maneno hayo kufuatana na mambo ya maisha. Hata Sheria ya Musa inasema maneno hayo vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Je! ninanena haya kama mwana Adamu? Au sharia nayo haisemi yayo hayo?