1 John 2:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na ahadi aliyotuahidia sisi ndiyo hii: Uhai wa milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ndiyo ahadi yake kwetu, yaani uzima wa milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hii ndiyo ahadi aliyotuahidia, yaani, uzima wa milele.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na hili ndilo ambalo Mwana ameliahidi kwetu sisi, uzima wa milele.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na ahadi aliyotuahidia sisi ndiyo hii: uzima wa milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na ahadi aliyotuahidia sisi ndiyo hii: uhai wa milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ndiyo ahadi yake kwetu, yaani, uzima wa milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ndiyo ahadi yake kwetu, yaani, uzima wa milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hii ndiyo ahadi aliyotuahidia, yaani, uzima wa milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na ahadi aliyotuahidia sisi ndiyo hii: Uhai wa milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nacho kiagio, alichotuagia mwenyewe, ndicho hiki: uzima wa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hii ndiyo ahadi aliyotuahidia, yaani, uzima wa milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na Kristo yeye mwenyewe alituahidi sisi uzima wa milele.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na hii ndiyo ahadi alivyowaahidia ninyi, uzima wa milele.