1 John 2:26 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimewaandikieni mambo haya kuhusu wale wanaotaka kuwapotosha nyinyi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nawaandikia mambo haya kuhusu wale watu ambao wanajaribu kuwapotosha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimewaandikia haya katika habari za watu wale wanaotaka kuwapoteza.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninawaandikia barua hii juu ya wale ambao wanataka kuwapotosha katika njia isiyo sahihi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nimewaandikieni mambo haya kuhusu wale wanaotaka kuwapotosha ninyi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimewaandikieni mambo haya kuhusu wale wanaotaka kuwapotosha nyinyi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninawaandikia mambo haya kuhusu wale watu ambao wanajaribu kuwapotosha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nawaandikia mambo haya kuhusu wale watu ambao wanajaribu kuwapotosha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimewaandikia haya kuhusu habari za watu wale wanaotaka kuwapoteza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimewaandikieni mambo haya kuhusu wale wanaotaka kuwapotosha nyinyi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya nimewaandikia ninyi kwa ajili yao wanaowapoteza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimewaandikia haya katika habari za watu wale wanaotaka kuwapoteza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimewaandikia maneno hayo kwa sababu ya watu wanaotafuta kuwadanganya.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nimewaandikia haya katika khabari za watu wale wanaotaka kuwapoteza.