1 John 2:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeyote asemaye kwamba yumo katika mwanga, lakini anamchukia ndugu yake, mtu huyo bado yumo gizani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote anayesema yumo nuruni lakini anamchukia ndugu yake bado yuko gizani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye asemaye kwamba yumo nuruni, naye amchukia ndugu yake, yumo gizani hata sasa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mtu anaweza kusema, “Niko nuruni,” lakini ikiwa anamchukia ndugu yeyote katika familia ya Mungu, basi angali bado katika giza.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yeyote asemaye kwamba yumo katika mwanga, lakini anamchukia ndugu yake, mtu huyo bado yumo gizani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeyote asemaye kwamba yumo katika mwanga, lakini anamchukia ndugu yake, mtu huyo bado yumo gizani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote anayesema yumo nuruni lakini anamchukia ndugu yake bado yuko gizani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote anayesema yumo nuruni lakini anamchukia ndugu yake bado yuko gizani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye asemaye kwamba yumo katika nuru, naye amchukia ndugu yake, yumo gizani hata sasa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeyote asemaye kwamba yumo katika mwanga, lakini anamchukia ndugu yake, mtu huyo bado yumo gizani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akisema: Nimo mwangani, akamchukia ndugu yake, yumo gizani hata sasa hivi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye asemaye kwamba yumo nuruni, naye amchukia ndugu yake, yumo gizani hata sasa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu anayesema kwamba anaishi katika mwangaza, lakini anamuchukia ndugu yake, yeye angali anaishi katika giza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yeye asemae kwamba yumo katika nuru, nae amchukia ndugu yake, yumo gizani hatta sasa.