1 John 3:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na, ujumbe mliousikia tangu mwanzo ndio huu: Tunapaswa kupendana!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ndilo neno mlilolisikia tangu mwanzo: Kwamba imetupasa tupendane sisi kwa sisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana, hii ndiyo habari mliyoisikia tangu mwanzo, kwamba tupendane sisi kwa sisi;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Haya ni mafundisho mliyoyasikia toka mwanzo: Ni lazima tupendane sisi kwa sisi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na, ujumbe mliousikia tangu mwanzo ndio huu: Tunapaswa kupendana!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na, ujumbe mliousikia tangu mwanzo ndio huu: Tunapaswa kupendana!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ndilo neno mlilolisikia tangu mwanzo: Kwamba imetupasa tupendane sisi kwa sisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ndilo neno mlilolisikia tangu mwanzo: Kwamba imetupasa tupendane sisi kwa sisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana, hii ndiyo habari mliyoisikia tangu mwanzo, kwamba tupendane sisi kwa sisi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na, ujumbe mliousikia tangu mwanzo ndio huu: Tunapaswa kupendana!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani huu ndio utume, mliousikia tangu mwanzo: Tupendane sisi kwa sisi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana, hii ndiyo habari mliyoisikia tangu mwanzo, kwamba tupendane sisi kwa sisi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana huu ndio ujumbe muliosikia tangia mbele: tupendane sisi kwa sisi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana hii ndiyo khabari tuliyosikia tangu mwanzo, tupendane sisi kwa sisi;