1 John 3:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, ndugu zangu, msishangae kama ulimwengu unawachukia nyinyi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndugu zangu, ninyi msistaajabu kama ulimwengu ukiwachukia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndugu zangu, msistaajabu, ulimwengu ukiwachukia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kaka zangu na dada zangu, msishangae watu wa dunia hii wakiwachukia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, ndugu zangu, msishangae kama ulimwengu unawachukia ninyi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, ndugu zangu, msishangae kama ulimwengu unawachukia nyinyi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndugu zangu, ninyi msistaajabu kama ulimwengu ukiwachukia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndugu zangu, ninyi msistaajabu kama ulimwengu ukiwachukia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndugu zangu, msistaajabu, ulimwengu ukiwachukia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, ndugu zangu, msishangae kama ulimwengu unawachukia nyinyi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Msistaajabu, ndugu, ulimwengu ukiwachukia ninyi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndugu zangu, msistaajabu, ulimwengu ukiwachukia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wandugu zangu, musishangae kama watu wa dunia hii wakiwachukia ninyi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Msistaajabu, ndugu, ulimwengu ukiwachukia.