1 John 3:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watoto wangu, upendo wetu usiwe maneno matupu, bali uwe upendo wa kweli na wa vitendo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watoto wapendwa, tusipende kwa maneno au kwa ulimi bali kwa tendo na kweli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watoto wadogo, tusipende kwa neno, wala kwa ulimi, bali kwa tendo na kweli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watoto wangu, upendo wetu usiwe wa maneno na kuongea tu. Hapana, upendo wetu unapaswa kuwa halisi. Hatuna budi kuuonyesha upendo wetu kwa mambo yale tunayofanya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watoto wangu, upendo wetu usiwe maneno matupu, bali uwe upendo wa kweli na wa vitendo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watoto wangu, upendo wetu usiwe maneno matupu, bali uwe upendo wa kweli na wa vitendo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watoto wangu wadogo, tusipende kwa maneno au kwa ulimi bali kwa tendo na katika kweli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watoto wapendwa, tusipende kwa maneno au kwa ulimi bali kwa tendo na kweli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watoto wadogo, tusipende kwa neno, wala kwa ulimi, bali kwa tendo na kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watoto wangu, upendo wetu usiwe maneno matupu, bali uwe upendo wa kweli na wa vitendo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vitoto, tusipendane kwa maneno, wala kwa ndimi, ila kwa matendo na kwa kweli!*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watoto wadogo, tusipende kwa neno, wala kwa ulimi, bali kwa tendo na kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watoto wangu, upendo wetu usikuwe wa masemi tu; lakini unapaswa kuwa upendo wa kweli na unaoonekana kwa matendo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Watoto, tusipende kwa neno, wala kwa ulimi, biali kwa tendo na kweli.