1 John 3:21 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wapenzi wangu, kama dhamiri zetu hazina lawama juu yetu, basi, twaweza kuwa na uthabiti mbele ya Mungu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wapendwa, kama mioyo yetu haituhukumu, tunao ujasiri mbele za Mungu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wapenzi, mioyo yetu isipotuhukumu, tuna ujasiri kwa Mungu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Rafiki zangu wapendwa, ikiwa hatujisikii kuwa tunatenda yasiyo haki, basi hatupaswi kuwa na hofu tunapoenda kwa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wapenzi wangu, kama dhamiri yetu haina lawama juu yetu, basi, twaweza kuwa na uthabiti mbele ya Mungu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wapenzi wangu, kama dhamiri zetu hazina lawama juu yetu, basi, twaweza kuwa na uthabiti mbele ya Mungu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wapenzi, kama mioyo yetu haituhukumu, tunao ujasiri mbele za Mungu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wapendwa, kama mioyo yetu haituhukumu, tunao ujasiri mbele za Mungu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wapenzi, mioyo yetu isipotuhukumu, tuna ujasiri kwa Mungu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wapenzi wangu, kama dhamiri zetu hazina lawama juu yetu, basi, twaweza kuwa na uthabiti mbele ya Mungu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wapendwa, mioyo yetu isipotuchafukia, sisi humshangilia Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wapenzi, mioyo yetu isipotuhukumu, tuna ujasiri kwa Mungu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wapendwa wangu, zamiri yetu isipotuhukumu, sisi tuko na tumaini mbele ya Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wapenzi, mioyo yetu isipotuhukumu, tuna ujasiri kwa Mungu;