1 John 4:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Palipo na upendo hapana woga; naam, upendo kamili hufukuza woga wote. Basi, mtu mwenye woga hajakamilika bado katika upendo, kwani woga huhusikana na adhabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika pendo hakuna hofu. Lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu, kwa sababu hofu inahusika na adhabu. Kila mwenye hofu hakukamilika katika pendo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika pendo hamna hofu; lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu, kwa maana hofu ina adhabu; na mwenye hofu hakukamilishwa katika pendo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Palipo na upendo wa Mungu, hakuna hofu, kwa sababu upendo wa Mungu ulio kamili unaondoa hofu. Ni hukumu yake ndiyo inayomfanya mtu kuwa na hofu. Hivyo pendo lake halikamilishwi kwa mtu ambaye ndani yake kuna hofu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Palipo na upendo hapana uoga; naam, upendo kamili hufukuza uoga wote. Basi, mtu mwenye uoga hajakamilika bado katika upendo, kwani uoga huhusikana na adhabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Palipo na upendo hapana woga; naam, upendo kamili hufukuza woga wote. Basi, mtu mwenye woga hajakamilika bado katika upendo, kwani woga huhusikana na adhabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika pendo hakuna hofu. Lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu, kwa sababu hofu inahusika na adhabu. Kila mwenye hofu hakukamilika katika pendo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika pendo hakuna hofu. Lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu, kwa sababu hofu inahusika na adhabu. Kila mwenye hofu hakukamilika katika pendo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika pendo hamna hofu; lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu, kwa maana hofu ina adhabu; na mwenye hofu hakukamilishwa katika pendo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Palipo na upendo hapana woga; naam, upendo kamili hufukuza woga wote. Basi, mtu mwenye woga hajakamilika bado katika upendo, kwani woga huhusikana na adhabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Woga haumo katika upendo, ila upendo uliotimilika huufukuza woga, kwa sababu woga huhangaisha. Naye aliye mwenye woga bado hajautimiliza upendo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika pendo hamna hofu; lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu, kwa maana hofu ina adhabu; na mwenye hofu hakukamilishwa katika pendo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika upendo hakuna woga, lakini upendo kamili unaondoa woga wote. Maana yule anayekuwa na woga hakamiliki katika upendo kwa sababu woga unaonyesha hali ya kuhukumiwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Katika pendo hamua khofu; lakini pendo lililo kamili huitupa nje khofu, kwa maana khofu ina adhabu; na mwenye khofu hakukamilishwa katika pendo.