1 John 4:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, hii ndiyo amri aliyotupa Kristo: Anayempenda Mungu anapaswa pia kumpenda ndugu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye ametupatia amri hii: Yeyote anayempenda Mungu lazima pia ampende ndugu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na amri hii tumepewa na yeye, ya kwamba yeye ampendaye Mungu, ampende na ndugu yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mungu ametupa amri hii: Kama tunampenda Mungu, Ni lazima pia tupendane sisi kwa sisi kama kina kaka na kina dada.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, hii ndiyo amri aliyotupa Kristo: Anayempenda Mungu anapaswa pia kumpenda ndugu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, hii ndiyo amri aliyotupa Kristo: Anayempenda Mungu anapaswa pia kumpenda ndugu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye ametupa amri hii: Ye yote anayempenda Mungu lazima pia ampende ndugu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye ametupa amri hii: Yeyote anayempenda Mungu lazima pia ampende ndugu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na amri hii tumepewa na yeye, ya kwamba yeye ampendaye Mungu, ampende na ndugu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, hii ndiyo amri aliyotupa Kristo: Anayempenda Mungu anapaswa pia kumpenda ndugu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
maana agizo hili tumepewa naye kwamba: Mwenye kumpenda Mungu sharti ampende na ndugu yake!*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na amri hii tumepewa na yeye, ya kwamba yeye ampendaye Mungu, ampende na ndugu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi hii ndiyo amri tuliyopewa na Kristo: yule anayemupenda Mungu anapaswa kumupenda ndugu yake vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na amri hii tumepewa nae, ya kwamba yeye ampendae Mungu, ampende na ndugu yake.