1 John 4:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wao husema mambo ya ulimwengu, nao ulimwengu huwasikiliza kwani wao ni wa ulimwengu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao wanatokana na ulimwengu na kwa hiyo hunena yaliyo ya ulimwengu, hivyo ulimwengu huwasikiliza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao ni wa dunia; kwa hiyo wanena ya dunia na dunia huwasikia
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wao ni wa ulimwengu. Hivyo kile wanachokisema ni cha ulimwengu pia. Na ulimwengu husikia kile wanachokisema.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wao husema mambo ya ulimwengu, nao ulimwengu huwasikiliza kwani wao ni wa ulimwengu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wao husema mambo ya ulimwengu, nao ulimwengu huwasikiliza kwani wao ni wa ulimwengu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao wanatokana na ulimwengu na kwa hiyo hunena yaliyo ya ulimwengu, hivyo ulimwengu huwasikiliza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao wanatokana na ulimwengu na kwa hiyo hunena yaliyo ya ulimwengu, hivyo ulimwengu huwasikiliza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao ni wa dunia; kwa hiyo wanena ya dunia na dunia huwasikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wao husema mambo ya ulimwengu, nao ulimwengu huwasikiliza kwani wao ni wa ulimwengu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wale ni wa kiulimwengu; kwa hiyo husema ya kiulimwengu, nao wa kiulimwengu huwasikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao ni wa dunia; kwa hiyo wanena ya dunia na dunia huwasikia
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Manabii wa uongo ni watu wa dunia, ndiyo maana wanasema mambo ya kidunia nao watu wa dunia wanawasikiliza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hawo ni wa dunia; kwa biyo wanena ya dunia, dunia ikawasikia.