1 John 5:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tunajua kwamba sisi ni wake Mungu ingawa ulimwengu wote unatawaliwa na yule Mwovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sisi twajua kuwa tu watoto wa Mungu na kwamba ulimwengu wote uko chini ya utawala wa yule mwovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Twajua ya kuwa sisi tu wa Mungu; na dunia yote pia hukaa katika yule mwovu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tunajua kwamba sisi ni wa Mungu, Lakini yule Mwovu anautawala ulimwengu wote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tunajua kwamba sisi ni wake Mungu ingawa ulimwengu wote unatawaliwa na yule Mwovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tunajua kwamba sisi ni wake Mungu ingawa ulimwengu wote unatawaliwa na yule Mwovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sisi twajua kuwa tu watoto wa Mungu na ya kwamba ulimwengu wote uko chini ya utawala wa yule mwovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sisi twajua kuwa tu watoto wa Mungu na ya kwamba ulimwengu wote uko chini ya utawala wa yule mwovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tunajua ya kuwa sisi tu wa Mungu; na dunia yote pia hukaa katika yule mwovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tunajua kwamba sisi ni wake Mungu ingawa ulimwengu wote unatawaliwa na yule Mwovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Twajua: sisi tu wa Kimungu, lakini ulimwengu wote umo katika nguvu ya yule Mbaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Twajua ya kuwa sisi tu wa Mungu; na dunia yote pia hukaa katika yule mwovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tunajua kwamba sisi ni watoto wa Mungu ingawa dunia yote inatawaliwa na yule Mwovu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Twajua ya kuwa sisi tu wa Mungu; na dunia yote pia hukaa katika yule mwovu.