1 John 5:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wako mashahidi watatu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni: hao ni Baba, Neno na Roho wa Mungu. Hawa watatu ni umoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Roho ndiye ashuhudiaye, kwa sababu Roho ndiye kweli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa hiyo kuna mashahidi watatu wanao tuambia habari za Yesu:
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wako mashahidi watatu:
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wako mashahidi watatu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni: hao ni Baba, Neno na Roho Mtakatifu. Hawa watatu ni wamoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana wako watatu washuhudiao[ mbinguni: hao ni Baba, Neno na Roho wa Mwenyezi Mungu. Hawa watatu ni umoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Roho ndiye ashuhudiaye, kwa sababu Roho ndiye kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wako mashahidi watatu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo wako watatu wanaoshuhudia mbinguni: Baba na Neno na Roho Mtakatifu; nao hawa watatu ni mmoja. Tena wako watatu wanaoshuhudia nchini: Roho na Maji na Damu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Roho ndiye ashuhudiaye, kwa sababu Roho ndiye kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana kuna washuhuda watatu:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana watatu ni mashahidi mbinguni, Baba, Neno, na Robo Mtakatifu, ua watatu hawa ni umoja.