1 Kings 1:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini, nabii Nathani, Benaya, walinzi wa mfalme na Solomoni ndugu yake hakuwaalika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini hakumwalika nabii Nathani, wala Benaya, wala walinzi maalum wa mfalme, wala ndugu yake Sulemani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ila Nathani, nabii, na Benaya, na mashujaa, na Sulemani nduguye, hakuwaita hao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini, nabii Nathani, Benaya, walinzi wa mfalme na Solomoni ndugu yake hakuwaalika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini hakumwalika nabii Nathani, Benaya, walinzi maalum wa mfalme wala ndugu yake Solomoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini hakumwalika nabii Nathani, Benaya, walinzi maalum wa mfalme, wala ndugu yake Sulemani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ila nabii Nathani, Benaya, walinzi wa mfalme na Sulemani ndugu yake hakuwaalika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini, nabii Nathani, Benaya, walinzi wa mfalme na Solomoni ndugu yake hakuwaalika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mfumbuaji Natani na Benaya nao mafundi wa vita naye ndugu yake Salomo hakuwaalika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ila Nathani, nabii, na Benaya, na mashujaa, na Sulemani nduguye, hakuwaita hao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hakuwaalika nabii Natani, Benaya, walinzi wa mufalme na ndugu yake Solomono.