1 Kings 1:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na utakapokuwa bado unaongea na mfalme, mimi nitaingia na kuyathibitisha maneno yako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utakapokuwa ukizungumza na mfalme, nitaingia na kuthibitisha hayo uliyoyasema.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, wakati ule utakapokuwa katika kusema na mfalme, mimi nami nitaingia nyuma yako, na kuyahakikisha maneno yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na utakapokuwa bado unaongea na mfalme, mimi nitaingia na kuyathibitisha maneno yako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utakapokuwa ukizungumza na mfalme, nitaingia na kuthibitisha hayo uliyoyasema.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utakapokuwa ukizungumza na mfalme, nitaingia na kuthibitisha hayo uliyoyasema.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, wakati ule utakapokuwa katika kusema na mfalme, mimi nami nitaingia nyuma yako, na kuyahakikisha maneno yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na utakapokuwa bado unaongea na mfalme, mimi nitaingia na kuyathibitisha maneno yako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukiwa hujamaliza bado kusema mle na mfalme, utaniona mimi, nikiingia nyuma yako, niyamalize maneno yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, wakati ule utakapokuwa katika kusema na mfalme, mimi nami nitaingia nyuma yako, na kuyahakikisha maneno yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na utakapokuwa ungali unaongea na mufalme, mimi nitaingia na kuyahakikisha maneno yako.”