1 Kings 1:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bathsheba aliinama, akamsujudia mfalme, naye mfalme akamwuliza, “Unataka nini?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bathsheba akainama na kusujudu, uso wake ukagusa chini mbele ya mfalme. Mfalme akauliza, “Ni nini unachokitaka?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bath-sheba akainama, akamsujudia mfalme. Naye mfalme akamwuliza, Wataka nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bathsheba aliinama, akamsujudia mfalme, naye mfalme akamwuliza, “Unataka nini?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bathsheba akasujudu na kupiga magoti mbele ya mfalme. Mfalme akauliza, “Ni nini hiki unachotaka?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bathsheba akasujudu na kupiga magoti mbele ya mfalme. Mfalme akauliza, “Ni nini hiki unachotaka?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bathsheba akainama, akamsujudia mfalme. Naye mfalme akamwuliza, Wataka nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bathsheba aliinama, akamsujudia mfalme, naye mfalme akamwuliza, “Unataka nini?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bati-Seba akainama na kumwangukia mfalme; mfalme akamwuliza: Una nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bath-sheba akainama, akamsujudia mfalme. Naye mfalme akamwuliza, Wataka nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Batiseba aliinama kwa heshima mbele ya mufalme, naye mufalme akamwuliza: “Unataka nini?”