1 Kings 1:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, tazama, Adoniya anatawala ingawa wewe bwana wangu mfalme hujui kuhusu hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini sasa Adoniya amekuwa mfalme, nawe, bwana wangu mfalme huna habari kuhusu jambo hilo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sasa, angalia, Adonia anamiliki; na wewe, bwana wangu mfalme, huna habari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, tazama, Adoniya anatawala ingawa wewe bwana wangu mfalme hujui kuhusu hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini sasa Adonia amekuwa mfalme, nawe, bwana wangu mfalme huna habari kuhusu jambo hilo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini sasa Adoniya amekuwa mfalme, nawe, bwana wangu mfalme huna habari kuhusu jambo hilo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sasa, angalia, Adonia anamiliki; na wewe, bwana wangu mfalme, huna habari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, tazama, Adoniya anatawala ingawa wewe bwana wangu mfalme hujui kuhusu hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini sasa tazama, Adonia amekwisha kujipa ufalme, nawe bwana wangu mfalme huvijui!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sasa, angalia, Adonia anamiliki; na wewe, bwana wangu mfalme, huna habari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, sasa, Adonia anatawala ingawa wewe bwana wangu mufalme haujui juu ya hayo.