1 Kings 1:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ametoa sadaka ya ng'ombe, ya vinono, na kondoo wengi, na kuwaita wana wote wa mfalme, kuhani Abiathari, na Yoabu jemadari wa jeshi, lakini mtumishi wako Solomoni hakumkaribisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ametoa dhabihu idadi kubwa ya ng’ombe, ndama walionona na kondoo, naye amewaalika wana wa mfalme wote, kuhani Abiathari, na Yoabu jemadari wa jeshi, lakini hakumwalika Sulemani mtumishi wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena amechinja ng'ombe, na vinono, na kondoo tele, na kuwaita wana wa mfalme wote pia, na Abiathari, kuhani, na Yoabu, jemadari wa jeshi. Ila Sulemani, mtumishi wako, huyu hakumwita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ametoa sadaka ya ng'ombe, ya vinono, na kondoo wengi, na kuwaita wana wote wa mfalme, kuhani Abiathari, na Yoabu jemadari wa jeshi, lakini mtumishi wako Solomoni hakumkaribisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ametoa dhabihu idadi kubwa ya ng'ombe, ndama walionona na kondoo, naye amewaalika wana wa mfalme wote, kuhani Abiathari, na Yoabu jemadari wa jeshi, lakini hakumwalika Solomoni mtumishi wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ametoa dhabihu idadi kubwa ya ng’ombe, ndama walionona na kondoo, naye amewaalika wana wa mfalme wote, kuhani Abiathari, na Yoabu jemadari wa jeshi, lakini hakumwalika Sulemani mtumishi wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena amechinja ng'ombe, na vinono, na kondoo tele, na kuwaita wana wa mfalme wote pia, na Abiathari, kuhani, na Yoabu, jemadari wa jeshi. Ila Sulemani, mtumishi wako, huyu hakumwita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ametoa sadaka ya ng'ombe, ya vinono, na kondoo wengi, na kuwaita wana wote wa mfalme, kuhani Abiathari, na Yoabu jemadari wa jeshi, lakini mtumishi wako Solomoni hakumkaribisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatambika na kuchinja ng'ombe na vinono na kondoo wengi, akawaalika wana wote wa mfalme na mtambikaji Abiatari na Yoabu, mkuu wa vikosi, lakini mtumwa wako Salomo hakumwalika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena amechinja ng’ombe, na vinono, na kondoo tele, na kuwaita wana wa mfalme wote pia, na Abiathari, kuhani, na Yoabu, jemadari wa jeshi. Ila Sulemani, mtumishi wako, huyu hakumwita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ametoa sadaka ya ngombe, ya wana-ngombe wanono, na kondoo wengi, na amewaalika wana wote wa mufalme, kuhani Abiatari, na Yoabu jemadari wa makundi yako ya waaskari, lakini mutumishi wako Solomono hakualikwa.