1 Kings 1:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
La sivyo, itatokea ya kwamba, wakati ambapo wewe bwana wangu, mfalme, utakapofariki mimi pamoja na mwanangu Solomoni tutahesabika kama wenye hatia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama sivyo, mara tu bwana wangu mfalme atakapopumzishwa pamoja na baba zake, mimi na mwanangu Sulemani tutatendewa kama wahalifu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ama sivyo itakuwa, bwana wangu mfalme atakapolala pamoja na baba zake, mimi na mwanangu Sulemani tutahesabiwa kuwa wahalifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
La sivyo, itatokea ya kwamba, wakati ambapo wewe bwana wangu, mfalme, utakapofariki mimi pamoja na mwanangu Solomoni tutahesabika kama wenye hatia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama sivyo, mara tu bwana wangu mfalme atakapopumzishwa pamoja na baba zake, mimi na mwanangu Solomoni tutatendewa kama wahalifu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama sivyo, mara tu bwana wangu mfalme atakapopumzishwa pamoja na baba zake, mimi na mwanangu Sulemani tutatendewa kama wahalifu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ama sivyo itakuwa, bwana wangu mfalme atakapolala pamoja na baba zake, mimi na mwanangu Sulemani tutahesabiwa kuwa wahalifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
La sivyo, itatokea ya kwamba, wakati ambapo wewe bwana wangu, mfalme, utakapofariki mimi pamoja na mwanangu Solomoni tutahesabika kama wenye hatia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo itakuwa, bwana wangu mfalme atakapolala na baba zake, mimi na mwanangu Salomo tuwe wakosaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ama sivyo itakuwa, bwana wangu mfalme atakapolala pamoja na baba zake, mimi na mwanangu Sulemani tutahesabiwa kuwa wahalifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kama sivyo, itatokea kwamba, wakati wewe bwana wangu mufalme utakapokufa, mimi pamoja na mwana wangu Solomono tutahesabiwa kama wenye kosa.”