1 Kings 1:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati Bathsheba alipokuwa akizungumza na mfalme, nabii Nathani aliingia ikulu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipokuwa angali anazungumza na mfalme, nabii Nathani akafika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi tazama, alipokuwa katika kusema na mfalme, Nathani, nabii, aliingia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati Bathsheba alipokuwa akizungumza na mfalme, nabii Nathani aliingia ikulu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipokuwa angali anazungumza na mfalme, nabii Nathani akafika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipokuwa angali anazungumza na mfalme, nabii Nathani akafika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi tazama, alipokuwa katika kusema na mfalme, Nathani, nabii, aliingia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati Bathsheba alipokuwa akizungumza na mfalme, nabii Nathani aliingia ikulu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokuwa akisema bado na mfalme, mara mfumbuaji Natani akaja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi tazama, alipokuwa katika kusema na mfalme, Nathani, nabii, aliingia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati Batiseba alipokuwa akizungumuza na mufalme, nabii Natani aliingia katika nyumba ya kifalme.