1 Kings 1:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao watu wakamwambia mfalme, “Nabii Nathani yuko hapa.” Naye alipomfikia mfalme, alimwinamia mfalme mpaka uso ukafika chini udongoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamwambia mfalme, “Nabii Nathani yuko hapa.” Kisha akaenda mbele ya mfalme na kumsujudia hadi uso wake ukagusa chini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwambia mfalme wakasema, Tazama, Nathani, nabii. Naye alipoingia ndani mbele ya mfalme, akamsujudia kifudifudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao watu wakamwambia mfalme, “Nabii Nathani yuko hapa.” Naye alipomfikia mfalme, alimwinamia mfalme mpaka uso ukafika chini udongoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamwambia mfalme, “Nabii Nathani yuko hapa.” Kisha akaenda mbele ya mfalme na kumsujudia hadi uso wake ukagusa ardhi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamwambia mfalme, “Nabii Nathani yuko hapa.” Kisha akaenda mbele ya mfalme na kumsujudia hadi uso wake ukagusa ardhi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwambia mfalme wakasema, Tazama, Nathani, nabii. Naye alipoingia ndani mbele ya mfalme, akamsujudia kifudifudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao watu wakamwambia mfalme, “Nabii Nathani yuko hapa.” Naye alipomfikia mfalme, alimwinamia mfalme mpaka uso ukafika chini udongoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamwambia mfalme kwamba: Mfumbuaji Natani amekuja. Alipokuja mbele ya mfalme, akamwangukia mfalme na kuufikisha uso wake chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwambia mfalme wakasema, Tazama, Nathani, nabii. Naye alipoingia ndani mbele ya mfalme, akamsujudia kifudifudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao watu wakamwambia mufalme: “Nabii Natani yuko hapa.” Naye alipomufikia mufalme, aliinama mbele ya mufalme mpaka uso ukafika chini kwenye udongo.