1 Kings 1:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Nathani aliposema, “Bwana wangu, je, ulisema, ‘Adoniya atatawala baada yangu na atakaa juu ya kiti changu cha enzi?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nathani akasema, “Je, bwana wangu mfalme, umetangaza kuwa Adoniya atakuwa mfalme baada yako na kwamba ataketi kwenye kiti chako cha ufalme?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nathani akasema, Ee mfalme, bwana wangu, je! Wewe umesema ya kwamba, Adonia atamiliki baada yangu, ndiye atakayeketi katika kiti changu cha enzi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Nathani aliposema, “Bwana wangu, je, ulisema, ‘Adoniya atatawala baada yangu na atakaa juu ya kiti changu cha enzi?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nathani akasema, “Je, bwana wangu mfalme, umetangaza kuwa Adonia atakuwa mfalme baada yako na kwamba ataketi kwenye kiti chako cha ufalme?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nathani akasema, “Je, bwana wangu mfalme, umetangaza kuwa Adoniya atakuwa mfalme baada yako na kwamba ataketi kwenye kiti chako cha ufalme?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nathani akasema, Ee mfalme, bwana wangu, je! Wewe umesema ya kwamba, Adonia atamiliki baada yangu, ndiye atakayeketi katika kiti changu cha enzi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Nathani aliposema, “Bwana wangu, je, ulisema, ‘Adoniya atatawala baada yangu na atakaa juu ya kiti changu cha enzi?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Natani akasema: Bwana wangu mfalme, umesema: Adonia awe mfalme nyuma yangu, naye akae katika kiti changu cha kifalme?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nathani akasema, Ee mfalme, bwana wangu, je! Wewe umesema ya kwamba, Adonia atamiliki baada yangu, ndiye atakayeketi katika kiti changu cha enzi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Natani akasema: “Bwana wangu mufalme, ni kweli kwamba ulisema hivi: ‘Adonia atatawala nyuma yangu, na ataikaa juu ya kiti changu cha kifalme’?