1 Kings 1:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa maana leo ameteremka, akatoa sadaka ya ng'ombe, vinono na kondoo wengi na amewakaribisha wana wa mfalme, Yoabu jemadari wa jeshi, na kuhani Abiathari, na, tazama, wanakula na kunywa mbele yake, na kusema, ‘Uishi mfalme Adoniya!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Leo ameshuka na kutoa dhabihu idadi kubwa ya ng’ombe, ndama walionona na kondoo. Amewaalika wana wote wa mfalme, jemadari wa jeshi, na kuhani Abiathari. Sasa hivi, wanakula na kunywa pamoja naye wakisema, ‘Aishi maisha marefu, Mfalme Adoniya!’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana leo ameshuka, na kuchinja ng'ombe, na vinono, na kondoo tele, naye amewaita wana wote wa mfalme, na majemadari wa jeshi, na Abiathari, kuhani; na tazama, wanakula na kunywa mbele yake, wakisema, Na aishi mfalme Adonia!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa maana leo ameteremka, akatoa sadaka ya ng'ombe, vinono na kondoo wengi na amewakaribisha wana wa mfalme, Yoabu jemadari wa jeshi, na kuhani Abiathari, na, tazama, wanakula na kunywa mbele yake, na kusema, ‘Uishi mfalme Adoniya!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Leo ameshuka na kutoa dhabihu idadi kubwa ya ng'ombe, ndama walionona na kondoo. Amewaalika wana wote wa mfalme, jemadari wa jeshi na kuhani Abiathari. Sasa hivi, wanakula na kunywa pamoja naye wakisema, ‘Aishi maisha marefu, Mfalme Adonia!’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Leo ameshuka na kutoa dhabihu idadi kubwa ya ng’ombe, ndama walionona na kondoo. Amewaalika wana wote wa mfalme, jemadari wa jeshi na kuhani Abiathari. Sasa hivi, wanakula na kunywa pamoja naye wakisema, ‘Aishi maisha marefu, Mfalme Adoniya!’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana leo ameshuka, na kuchinja ng'ombe, na vinono, na kondoo tele, naye amewaita wana wote wa mfalme, na majemadari wa jeshi, na Abiathari, kuhani; na tazama, wanakula na kunywa mbele yake, wakisema, Na aishi mfalme Adonia!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa maana leo ameteremka, akatoa sadaka ya ng'ombe, vinono na kondoo wengi na amewakaribisha wana wa mfalme, Yoabu jemadari wa jeshi, na kuhani Abiathari, na, tazama, wanakula na kunywa mbele yake, na kusema, ‘Uishi mfalme Adoniya!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani siku hii ya leo ameshuka, akatambika na kuchinja ng'ombe na vinono na kondoo wengi, akaalika wana wote wa mfalme na wakuu wa vikosi na mtambikaji Abiatari, nao wamo katika kula na kunywa mbele yake wakisema: Pongezi, mfalme Adonia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana leo ameshuka, na kuchinja ng’ombe, na vinono, na kondoo tele, naye amewaita wana wote wa mfalme, na majemadari wa jeshi, na Abiathari, kuhani; na tazama, wanakula na kunywa mbele yake, wakisema, Na aishi mfalme Adonia!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana leo alienda kutoa sadaka ya ngombe, wana-ngombe wanono na kondoo wengi na amewaalika wana wote wa mufalme, Yoabu jemadari wa waaskari, na kuhani Abiatari, na sasa wanakula na kunywa mbele yake, na kusema: ‘Mufalme Adonia aishi!’