1 Kings 1:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hakunialika mimi, mtumishi wako wala kuhani Sadoki, wala Benaya mwana wa Yehoyada na mtumishi wako Solomoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mimi mtumishi wako, na kuhani Sadoki, Benaya mwana wa Yehoyada, na mtumishi wako Sulemani hakutualika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini mimi, mimi mtumishi wako, na Sadoki, kuhani, na Benaya, mwana wa Yehoyada, na Sulemani, mtumishi wako, hakutuita sisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hakunialika mimi, mtumishi wako wala kuhani Sadoki, wala Benaya mwana wa Yehoyada na mtumishi wako Solomoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mimi mtumishi wako, kuhani Sadoki, Benaya mwana wa Yehoyada na mtumishi wako Solomoni hakutualika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mimi mtumishi wako, kuhani Sadoki, Benaya mwana wa Yehoyada na mtumishi wako Sulemani hakutualika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mimi, mtumishi wako, na Sadoki, kuhani, na Benaya, mwana wa Yehoyada, na Sulemani, mtumishi wako, hakutuita sisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hakunialika mimi, mtumishi wako wala kuhani Sadoki, wala Benaya mwana wa Yehoyada na mtumishi wako Solomoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi niliye mtumwa wako na mtambikaji Sadoki na Benaya, mwana wa Yoyada, na mtumwa wako Salomo hakutualika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini mimi, mimi mtumishi wako, na Sadoki, kuhani, na Benaya, mwana wa Yehoyada, na Sulemani, mtumishi wako, hakutuita sisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hakunialika mimi mutumishi wako wala kuhani Zadoki wala Benaya mwana wa Yehoyada wala mutumishi wako Solomono.