1 Kings 1:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, yote haya umeyafanya wewe bwana wangu, mfalme, bila kuwaambia watumishi wako mtu atakayekaa juu ya kiti chako cha enzi baada yako?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, hili ni jambo ambalo bwana wangu mfalme amelifanya pasipo kuwajulisha watumishi wake ili wapate kujua ni nani atakayeketi kwenye kiti cha ufalme cha bwana wangu mfalme baada yake?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Bwana wangu mfalme ndiye aliyelitenda jambo hili, bila kutujulisha sisi watumishi wako ni nani atakayeketi katika kiti cha enzi cha bwana wangu mfalme baada yake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, yote haya umeyafanya wewe bwana wangu, mfalme, bila kuwaambia watumishi wako mtu atakayekaa juu ya kiti chako cha enzi baada yako?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, hili ni jambo ambalo bwana wangu mfalme amelifanya pasipo kuwajulisha watumishi wake ili wapate kujua ni nani atakayeketi kwenye kiti cha ufalme cha bwana wangu mfalme baada yake?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, hili ni jambo ambalo bwana wangu mfalme amelifanya pasipo kuwajulisha watumishi wake ili wapate kujua ni nani atakayeketi kwenye kiti cha ufalme cha bwana wangu mfalme baada yake?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Bwana wangu mfalme ndiye aliyelitenda jambo hili, bila kutujulisha sisi watumishi wako ni nani atakayeketi katika kiti cha enzi cha bwana wangu mfalme baada yake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, yote haya umeyafanya wewe bwana wangu, mfalme, bila kuwaambia watumishi wako mtu atakayekaa juu ya kiti chako cha enzi baada yako?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Inakuwaje? Neno hilo limetoka kwako, bwana wangu mfalme, usimjulishe mtumwa wako, kama ni nani atakayekaa katika kiti cha kifalme cha bwana wangu mfalme nyuma yake?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Bwana wangu mfalme ndiye aliyelitenda jambo hili, bila kutujulisha sisi watumishi wako ni nani atakayeketi katika kiti cha enzi cha bwana wangu mfalme baada yake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbona yote hayo umeyafanya wewe bwana wangu mufalme, bila kuwaambia watumishi wako mutu atakayeikaa juu ya kiti chako cha kifalme nyuma yako?”