1 Kings 1:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu mfalme aliapa akisema, “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo, aliyekomboa roho yangu katika taabu nyingi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo mfalme akaapa: “Hakika kama Mwenyezi Mungu aishivyo, ambaye ameniokoa kutoka kila taabu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye mfalme akaapa, akasema, Bwana aishivyo, aliyenikomboa roho yangu katika shida zote,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu mfalme aliapa akisema, “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo, aliyekomboa roho yangu katika taabu nyingi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo mfalme akaapa: “Hakika kama BWANA aishivyo, ambaye ameniokoa kutoka katika kila taabu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo mfalme akaapa: “Hakika kama bwana aishivyo, ambaye ameniokoa kutoka kila taabu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye mfalme akaapa, akasema, BWANA aishivyo, aliyenikomboa roho yangu katika shida zote,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu mfalme aliapa akisema, “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo, aliyekomboa roho yangu katika taabu nyingi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, mfalme alipoapa akisema: Hivyo, Bwana alivyo Mwenye uzima aliyeiokoa roho yangu katika masongano yote,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye mfalme akaapa, akasema, BWANA aishivyo, aliyenikomboa roho yangu katika shida zote,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu mufalme aliapa, akisema: “Kama vile Yawe anavyoishi, yule aliyekomboa roho yangu katika taabu nyingi,