1 Kings 1:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakatafutatafuta msichana mzuri kote nchini Israeli. Akapatikana msichana mmoja mzuri aitwaye Abishagi, Mshunami; wakamleta kwa mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakatafuta katika Israeli yote ili kumpata msichana mzuri wa sura na wakampata Abishagi Mshunami, wakamleta kwa mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakatafuta kijana mzuri mipakani mwote mwa Israeli, wakamwona Abishagi, Mshunami, wakamleta kwa mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakatafutatafuta msichana mzuri kote nchini Israeli. Akapatikana msichana mmoja mzuri aitwaye Abishagi, Mshunami; wakamleta kwa mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakatafuta katika Israeli yote ili kumpata msichana mzuri wa sura na wakampata Abishagi, Mshunami, wakamleta kwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakatafuta katika Israeli yote ili kumpata msichana mzuri wa sura na wakampata Abishagi, Mshunami, wakamleta kwa mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakatafuta msichana mzuri katika nchi yote ya Israeli, wakamwona Abishagi, Mshunami, wakamleta kwa mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakatafutatafuta msichana mzuri kote nchini Israeli. Akapatikana msichana mmoja mzuri aitwaye Abishagi, Mshunami; wakamleta kwa mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakatafuta msichana aliyekuwa mzuri kuwashinda wengine waliokuwa mipakani kwa Waisiraeli, wakamwona Abisagi wa sunemu, wakampeleka kwake mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakatafuta kijana mzuri mipakani mwote mwa Israeli, wakamwona Abishagi, Mshunami, wakamleta kwa mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wakatafutatafuta binti muzuri katika inchi yote ya Israeli. Kukapatikana binti mumoja muzuri anayeitwa Abisagi Musunami. Wakamuleta kwa mufalme.