1 Kings 1:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye mfalme akawaambia, “Nenda na watumishi wangu mimi bwana wako, umpandishe mwanangu Solomoni juu ya nyumbu wangu, umpeleke Gihoni;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akawaambia: “Wachukueni watumishi wa bwana wenu pamoja nanyi na mkamkalishe mwanangu Sulemani juu ya nyumbu wangu mwenyewe, kisha mkamteremshe hadi Gihoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye mfalme akawaambia, Twaeni pamoja nanyi watumishi wa bwana wenu, mkampandishe Sulemani mwanangu juu ya nyumbu wangu mimi mkamtelemshe mpaka Gihoni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye mfalme akawaambia, “Nenda na watumishi wangu mimi bwana wako, umpandishe mwanangu Solomoni juu ya nyumbu wangu, umpeleke Gihoni;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akawaambia: “Wachukueni watumishi wa bwana wenu pamoja nanyi na mkamkalishe mwanangu Solomoni juu ya nyumbu wangu mwenyewe mkamtelemshe hadi Gihoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akawaambia: “Wachukueni watumishi wa bwana wenu pamoja nanyi na mkamkalishe mwanangu Sulemani juu ya nyumbu wangu mwenyewe mkamteremshe hadi Gihoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye mfalme akawaambia, Twaeni pamoja nanyi watumishi wa bwana wenu, mkampandishe Sulemani mwanangu juu ya nyumbu wangu mimi mkamteremshe mpaka Gihoni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye mfalme akawaambia, “Nenda na watumishi wangu mimi bwana wako, umpandishe mwanangu Solomoni juu ya nyumbu wangu, umpeleke Gihoni;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mfalme akawaambia: Wachukueni watumishi wa bwana wenu kwenda nanyi, mkimpandisha mwanangu Salomo katika nyumbu wangu mimi, mmtelemshe huko Gihoni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye mfalme akawaambia, Twaeni pamoja nanyi watumishi wa bwana wenu, mkampandishe Sulemani mwanangu juu ya nyumbu wangu mimi mkamtelemshe mpaka Gihoni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye mufalme akawaambia: “Kwenda na watumishi wangu mimi bwana wako, umupandishe mwana wangu Solomono juu ya nyumbu wangu, umupeleke kule Gihoni.