1 Kings 1:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Benaya mwana wa Yehoyada alipomjibu mfalme, “Amina! Bwana Mungu wa bwana wangu mfalme, na anene vivyo hivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Benaya mwana wa Yehoyada akamjibu mfalme, “Amen! Mwenyezi Mungu, Mungu wa bwana wangu mfalme, na aamuru vivyo hivyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Benaya, mwana wa Yehoyada, akamjibu mfalme, akasema, Amina; Bwana, Mungu na bwana wangu mfalme, na aseme vivyo hivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Benaya mwana wa Yehoyada alipomjibu mfalme, “Amina! Bwana Mungu wa bwana wangu mfalme, na anene vivyo hivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Benaya mwana wa Yehoyada akamjibu mfalme, “Amen! BWANA, Mungu wa bwana wangu mfalme, na aseme vivyo hivyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Benaya mwana wa Yehoyada akamjibu mfalme, “Amen! bwana, Mungu wa bwana wangu mfalme, na aseme vivyo hivyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Benaya, mwana wa Yehoyada, akamjibu mfalme, akasema, Amina; BWANA, Mungu na bwana wangu mfalme, na aseme vivyo hivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Benaya mwana wa Yehoyada alipomjibu mfalme, “Amina! Bwana Mungu wa bwana wangu mfalme, na anene vivyo hivyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Benaya, mwana wa Yoyada, akamwitikia mfalme akisema: Amin. Naye Bwana Mungu wa bwana wangu mfalme na aseme hivyo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Benaya, mwana wa Yehoyada, akamjibu mfalme, akasema, Amina; BWANA, Mungu na bwana wangu mfalme, na aseme vivyo hivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Benaya mwana wa Yehoyada akamujibu mufalme: “Amina! Yawe, Mungu wa bwana wangu mufalme, aseme vile vile.