1 Kings 1:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha kuhani Sadoki alichukua pembe za mafuta kutoka hemani na kumpaka mafuta Solomoni kuwa mfalme. Kisha walipiga tarumbeta; na watu wote wakasema, “Aishi mfalme Solomoni!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhani Sadoki akachukua pembe ya mafuta kutoka hema takatifu na kumtia Sulemani mafuta. Kisha wakapiga tarumbeta na watu wote wakapaza sauti wakisema, “Mfalme Sulemani aishi maisha marefu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Sadoki, kuhani, akatwaa ile pembe ya mafuta katika Hema, akamtia Sulemani mafuta. Nao wakapiga panda; na watu wote wakasema, Mfalme Sulemani na aishi!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha kuhani Sadoki alichukua pembe za mafuta kutoka hemani na kumpaka mafuta Solomoni kuwa mfalme. Kisha walipiga tarumbeta; na watu wote wakasema, “Aishi mfalme Solomoni!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhani Sadoki akachukua pembe ya mafuta kutoka kwenye hema takatifu na kumtia Solomoni mafuta. Kisha wakapiga tarumbeta na watu wote wakapaza sauti wakisema, “Mfalme Solomoni aishi maisha marefu!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhani Sadoki akachukua pembe ya mafuta kutoka kwenye hema takatifu na kumtia Sulemani mafuta. Kisha wakapiga tarumbeta na watu wote wakapaza sauti wakisema, “Mfalme Sulemani aishi maisha marefu!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Sadoki, kuhani, akatwaa ile pembe ya mafuta katika Hema, akamtia Sulemani mafuta. Nao wakapiga panda; na watu wote wakasema, Na aishi Mfalme Sulemani!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha kuhani Sadoki alichukua pembe za mafuta kutoka hemani na kumpaka mafuta Solomoni kuwa mfalme. Kisha walipiga tarumbeta; na watu wote wakasema, “Aishi mfalme Solomoni!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mtambikaji Sadoki alikuwa ameichukua pembe ya mafuta mle Hemani, akampaka Salomo mafuta; ndipo, walipopiga mabaragumu, nao watu wote wakasema: Pongezi, mfalme Salomo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Sadoki, kuhani, akatwaa ile pembe ya mafuta katika Hema, akamtia Sulemani mafuta. Nao wakapiga panda; na watu wote wakasema, Mfalme Sulemani na aishi!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kuhani Zadoki alitwaa pembe za mafuta kutoka katika hema na kumupakaa Solomono mafuta kuwa mufalme. Kisha walipiga baragumu na watu wote wakasema: “Mufalme Solomono aishi!”