1 Kings 1:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu watu wote walimfuata, wakipiga mazomari, wakafurahi kwa shangwe kubwa, hata nchi ikatikisika kwa sauti zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Na watu wote wakakwea wakimfuata, huku wakipiga filimbi na kushangilia sana, hata ardhi ikatikisika kwa ile sauti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha watu wote wakapanda juu nyuma yake, watu wakapiga mazomari, wakafurahi furaha kubwa mno, hata nchi ikapasuka kwa sauti zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu watu wote walimfuata, wakipiga mazomari, wakafurahi kwa shangwe kubwa, hata nchi ikatikisika kwa sauti zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Na watu wote wakakwea wakimfuata, wakipiga filimbi na kushangilia sana, hata ardhi ikatikisika kwa ile sauti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Na watu wote wakakwea wakimfuata, wakipiga filimbi na kushangilia sana, hata ardhi ikatikisika kwa ile sauti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha watu wote wakapanda juu nyuma yake, watu wakapiga mazomari, wakafurahi kwa shangwe kuu mno, hata nchi ikapasuka kwa sauti zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu watu wote walimfuata, wakipiga mazomari, wakafurahi kwa shangwe kubwa, hata nchi ikatikisika kwa sauti zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha watu wote pia wakapanda na kumfuata wakipiga filimbi kwa kufurahi furaha kubwa, hata nchi ikavuma kwa sauti zao kuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha watu wote wakapanda juu nyuma yake, watu wakapiga mazomari, wakafurahi furaha kubwa mno, hata nchi ikapasuka kwa sauti zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu watu wote walimufuata, wakipiga mazomari, wakafurahi kwa shangwe kubwa, hata inchi ikatikisika kwa sauti zao.