1 Kings 1:42 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipokuwa akisema, kumbe, Yonathani mwana wa kuhani Abiathari akaingia; kisha Adoniya akasema, “Karibu, kwani wewe u mtu mwema; unaleta habari njema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata alipokuwa anaongea, Yonathani mwana wa kuhani Abiathari akafika. Adoniya akasema, “Ingia ndani. Mtu wa maana kama wewe ni lazima awe amelete habari njema.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye alipokuwa katika kunena, tazama Yonathani, mwana wa Abiathari kuhani, akafika. Naye Adonia akasema, Karibu; maana wewe u mtu mwema, unaleta habari njema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipokuwa akisema, kumbe, Yonathani mwana wa kuhani Abiathari akaingia; kisha Adoniya akasema, “Karibu, kwani wewe u mtu mwema; unaleta habari njema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata alipokuwa anasema, Yonathani mwana wa kuhani Abiathari akafika. Adonia akasema, “Ingia ndani. Mtu mstahiki kama wewe ni lazima alete habari njema.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata alipokuwa anasema, Yonathani mwana wa kuhani Abiathari akafika. Adoniya akasema, “Ingia ndani. Mtu mstahiki kama wewe ni lazima alete habari njema.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye alipokuwa katika kunena, tazama Yonathani, mwana wa Abiathari kuhani, akafika. Naye Adonia akasema, Karibu; maana wewe u mtu mwema, unaleta habari njema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipokuwa akisema, kumbe, Yonathani mwana wa kuhani Abiathari akaingia; kisha Adoniya akasema, “Karibu, kwani wewe u mtu mwema; unaleta habari njema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokuwa akisema bado, mara akaja Yonatani, mwana wa mtambikaji Abiatari; Adonia akamwambia: Njoo! Kwani wewe u mtu mwenye nguvu, utatuletea habari njema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye alipokuwa katika kunena, tazama Yonathani, mwana wa Abiathari kuhani, akafika. Naye Adonia akasema, Karibu; maana wewe u mtu mwema, unaleta habari njema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipokuwa akisema, Yonatani mwana wa kuhani Abiatari akaingia. Adonia akasema: “Karibu, maana wewe ni mutu hodari na unaleta habari nzuri.”