1 Kings 1:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Yonathani alipomjibu Adoniya, “Hapana, kwa sababu mfalme Daudi amemtawaza Solomoni kuwa mfalme;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yonathani akamjibu, “La hasha! Mfalme Daudi bwana wetu amemfanya Sulemani kuwa mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Yonathani akajibu, akamwambia Adonia, Hakika bwana wetu mfalme Daudi amemtawaza Sulemani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Yonathani alipomjibu Adoniya, “Hapana, kwa sababu mfalme Daudi amemtawaza Solomoni kuwa mfalme;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yonathani akajibu, “La hasha! Mfalme Daudi bwana wetu amemfanya Solomoni kuwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yonathani akajibu, “La hasha! Mfalme Daudi bwana wetu amemfanya Sulemani kuwa mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Yonathani akajibu, akamwambia Adonia, Hakika bwana wetu mfalme Daudi amemtawaza Sulemani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Yonathani alipomjibu Adoniya, “Hapana, kwa sababu mfalme Daudi amemtawaza Solomoni kuwa mfalme;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Yonatani akajibu akimwambia Adonia: Sivyo! Bwana wetu mfalme Dawidi amempa Salomo kuwa mfalme!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Yonathani akajibu, akamwambia Adonia, Hakika bwana wetu mfalme Daudi amemtawaza Sulemani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yonatani akamujibu Adonia: “Hapana. Mufalme Daudi amemusimika Solomono kuwa mufalme.