1 Kings 1:46 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa Solomoni anaketi juu ya kiti cha kifalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zaidi ya hayo, Sulemani ameketi kwenye kiti chake cha ufalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tena, Sulemani ameketi katika kiti cha enzi cha ufalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa Solomoni anaketi juu ya kiti cha kifalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zaidi ya hayo, Solomoni ameketi juu ya kiti chake cha ufalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zaidi ya hayo, Sulemani ameketi juu ya kiti chake cha ufalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tena, Sulemani ameketi katika kiti cha enzi cha ufalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa Solomoni anaketi juu ya kiti cha kifalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Salomo akapata hata kukaa katika kiti cha kifalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tena, Sulemani ameketi katika kiti cha enzi cha ufalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa Solomono anaikaa juu ya kiti cha kifalme.