1 Kings 1:49 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wageni wa Adoniya wakaogopa sana, wakaondoka na kutawanyika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliposikia haya, wageni wote wa Adoniya wakainuka kwa hofu na kutawanyika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo wageni wote waliokuwa pamoja na Adonia wakaogopa, wakaondoka, wakaenda zao kila mtu njia yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wageni wa Adoniya wakaogopa sana, wakaondoka na kutawanyika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika hili, wageni wote wa Adonia wakainuka kwa mshtuko wa hofu na kutawanyika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika hili, wageni wote wa Adoniya wakainuka kwa mshtuko wa hofu na kutawanyika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo wageni wote waliokuwa pamoja na Adonia wakaogopa, wakaondoka, wakaenda zao kila mtu njia yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wageni wa Adoniya wakaogopa sana, wakaondoka na kutawanyika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wote walioalikwa waliokuwa kwake Adonia waliposhikwa na woga, wakaondoka, wakajiendea, kila mtu akishika yake njia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo wageni wote waliokuwa pamoja na Adonia wakaogopa, wakaondoka, wakaenda zao kila mtu njia yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, waalikwa wa Adonia wakaogopa sana, wakaondoka na kutawanyika.