1 Kings 1:50 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Adoniya, kwa kuwa alimwogopa Solomoni, akakimbilia katika hema la Mwenyezi-Mungu akazishika pembe za madhabahu apate kusalimika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Adoniya kwa kumwogopa Sulemani, akaenda na kushika pembe za madhabahu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Adonia naye akaogopa mbele ya Sulemani; akaondoka, akaenda, akazishika pembe za madhabahu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Adoniya, kwa kuwa alimwogopa Solomoni, akakimbilia katika hema la Mwenyezi-Mungu akazishika pembe za madhabahu apate kusalimika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Adonia kwa kumwogopa Solomoni, akaenda na kushika pembe za madhabahu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Adoniya kwa kumwogopa Sulemani, akaenda na kushika pembe za madhabahu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Adonia naye akaogopa mbele ya Sulemani; akaondoka, akaenda, akazishika pembe za madhabahu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Adoniya, kwa kuwa alimwogopa Solomoni, akakimbilia katika hema la Mwenyezi-Mungu akazishika pembe za madhabahu apate kusalimika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Adonia akamwogopa Salomo, akaondoka, akaenda, akazishika pembe za meza ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Adonia naye akaogopa mbele ya Sulemani; akaondoka, akaenda, akazishika pembe za madhabahu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Adonia, kwa sababu alimwogopa Solomono, akakimbilia katika hema la Yawe, akazishika pembe za mazabahu apate kuponyoka.