1 Kings 1:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Adoniya akashauriana na Yoabu mwana wa Seruya, na kuhani Abiathari; nao wakamfuata na kumuunga mkono.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adoniya akashauriana na Yoabu mwana wa Seruya, na kuhani Abiathari, nao wakamsaidia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akashauriana na Yoabu, mwana wa Seruya, na Abiathari, kuhani; nao wakamsaidia Adonia, wakamfuata.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Adoniya akashauriana na Yoabu mwana wa Seruya, na kuhani Abiathari; nao wakamfuata na kumuunga mkono.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adonia akashauriana pamoja na Yoabu mwana wa Seruya na kuhani Abiathari, nao wakamsaidia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adoniya akashauriana pamoja na Yoabu mwana wa Seruya na kuhani Abiathari, nao wakamsaidia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akashauriana na Yoabu, mwana wa Seruya, na Abiathari, kuhani; nao wakamsaidia Adonia, wakamfuata.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Adoniya akashauriana na Yoabu mwana wa Seruya, na kuhani Abiathari; nao wakamfuata na kumuunga mkono.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akapiga shauri na Yoabu, mwana wa Seruya, tena na mtambikaji Abiatari, wakamsaidia kwa kurudi upande wake Adonia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akashauriana na Yoabu, mwana wa Seruya, na Abiathari, kuhani; nao wakamsaidia Adonia, wakamfuata.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Adonia akafanya shauri na Yoabu mwana wa Zeruya, na kuhani Abiatari. Nao wakamufuata na kumwunga mukono.