1 Kings 10:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Malkia wa Sheba aliposikia sifa za Solomoni, kwa sababu ya jina la Mwenyezi-Mungu, alimwendea Solomoni ili kumjaribu kwa maswali magumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Malkia wa Sheba aliposikia habari za umaarufu wa Sulemani na uhusiano wake na jina la Mwenyezi Mungu, akaja kumjaribu kwa maswali magumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na malkia wa Sheba aliposikia habari za Sulemani juu ya jina la Bwana, alikuja ili amjaribu kwa maswali ya fumbo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Malkia wa Sheba aliposikia sifa za Solomoni, kwa sababu ya jina la Mwenyezi-Mungu, alimwendea Solomoni ili kumjaribu kwa maswali magumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Malkia wa Sheba aliposikia habari za umaarufu wa Solomoni na uhusiano wake na jina la BWANA, malkia alikuja kumjaribu kwa maswali magumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Malkia wa Sheba aliposikia habari za umaarufu wa Sulemani na uhusiano wake na jina la bwana, akaja kumjaribu kwa maswali magumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na malkia wa Sheba aliposikia habari za Sulemani juu ya jina la BWANA, alikuja ili amjaribu kwa maswali ya fumbo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Malkia wa Sheba aliposikia sifa za Solomoni, kwa sababu ya jina la Mwenyezi-Mungu, alimwendea Solomoni ili kumjaribu kwa maswali magumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme wa kike wa Saba alipousikia uvumi wa Salomo nayo, aliyolifanyia Jina la Bwana, akaenda kumjaribu kwa maulizo ya kufumbafumba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na malkia wa Sheba aliposikia habari za Sulemani juu ya jina la BWANA, alikuja ili amjaribu kwa maswali ya fumbo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Malkia wa Seba aliposikia sifa za Solomono, kwa sababu ya jina la Yawe, alimwendea Solomono kwa kumujaribu kwa maulizo magumu.