1 Kings 10:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena, msafara wa meli za Hiramu ulioleta dhahabu kutoka Ofiri, ulileta kwa wingi miti ya msandali na vito vya thamani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Meli za Hiramu zilileta dhahabu kutoka Ofiri; tena zikaleta shehena kubwa ya miti ya msandali, na vito vya thamani kutoka huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena merikebu za Hiramu, zilizochukua dhahabu kutoka Ofiri, zikaleta kutoka Ofiri miti ya msandali mingi sana, na vito vya thamani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena, msafara wa meli za Hiramu ulioleta dhahabu kutoka Ofiri, ulileta kwa wingi miti ya msandali na vito vya thamani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Meli za Hiramu zilileta dhahabu kutoka Ofiri; tena kutoka huko zilileta shehena kubwa ya miti ya msandali na mawe ya thamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Meli za Hiramu zilileta dhahabu kutoka Ofiri; tena kutoka huko zilileta shehena kubwa ya miti ya msandali na vito vya thamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena merikebu za Hiramu, zilizochukua dhahabu kutoka Ofiri, zikaleta kutoka Ofiri miti ya msandali mingi sana, na vito vya thamani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena, msafara wa meli za Hiramu ulioleta dhahabu kutoka Ofiri, ulileta kwa wingi miti ya msandali na vito vya thamani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli hata merikebu za Hiramu zilizochukua dhahabu huko Ofiri zikaleta toka Ofiri nayo miti ya uvumba mingi sana na vito.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena merikebu za Hiramu, zilizochukua dhahabu kutoka Ofiri, zikaleta kutoka Ofiri miti ya msandali mingi sana, na vito vya thamani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena, mashua za Hiramu zilizoleta zahabu kutoka Ofiri, zilileta kwa wingi miti ya musandali na mawe ya bei kali.