1 Kings 10:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kiasi hicho si pamoja na dhahabu aliyopata kwa wafanyabiashara na wachuuzi, kwa wafalme wote wa Arabia na wakuu wa mikoa ya Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mbali na mapato kutoka kwa wafanyabiashara na wachuuzi, na kutoka kwa wafalme wote wa Waarabu na watawala wa nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
zaidi ya faida ya wachuuzi, na bidhaa ya wafanya biashara, na ya wafalme wote wa hao waliochanganyika, na ya maliwali wa nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kiasi hicho si pamoja na dhahabu aliyopata kwa wafanyabiashara na wachuuzi, kwa wafalme wote wa Arabia na wakuu wa mikoa ya Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pasipo kuweka mapato kutoka wafanya biashara na wachuuzi, na kutoka kwa wafalme wote wa Arabuni na watawala wa nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mbali na mapato kutoka kwa wafanyabiashara na wachuuzi, na kutoka kwa wafalme wote wa Kiarabu na watawala wa nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
zaidi ya faida ya wachuuzi, na bidhaa ya wafanya biashara, na ya wafalme wote wa hao waliochanganyika, na ya watawala wa nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kiasi hicho si pamoja na dhahabu aliyopata kwa wafanyabiashara na wachuuzi, kwa wafalme wote wa Arabia na wakuu wa mikoa ya Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
pasipo zile, alizozitoza watembezi na wachuuzi na wafalme wote wa nchi ya Waarabu na watawala nchi yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
zaidi ya faida ya wachuuzi, na bidhaa ya wafanya biashara, na ya wafalme wote wa hao waliochanganyika, na ya maliwali wa nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kiasi hicho si pamoja na zahabu aliyopata kwa wafanyabiashara na wachuuzi, kwa wafalme wote wa Arabia na watawala wa inchi ya Israeli.