1 Kings 10:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kiti hicho kilikuwa na ngazi sita. Sehemu ya juu ilikuwa imeviringwa na kiliwekewa mahali pa kuegemeza mkono pande zake mbili; na sanamu za simba wawili zimesimama moja kando ya mahali hapo pa kuegemeza mkono.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kiti hicho kilikuwa na ngazi sita, na egemeo lenye mviringo juu yake. Kila upande wa kiti ulikuwa na mahali pa kuegemeza mkono, na simba aliyesimama kando kila upande.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kiti kile kilikuwa na daraja sita, na juu yake kimeviringana nyuma; na mikono huko na huko mahali pa kuketi, na simba wawili wakisimama kando ya hiyo mikono.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kiti hicho kilikuwa na ngazi sita. Sehemu ya juu ilikuwa imeviringwa na kiliwekewa mahali pa kuegemeza mkono pande zake mbili; na sanamu za simba wawili zimesimama moja kando ya mahali hapo pa kuegemeza mkono.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kiti hicho kilikuwa na ngazi sita na egemeo la nyuma lilikuwa la mviringo kwa juu. Juu pande zote za kiti kulikuwa na mahali pa kuwekea mikono, sanamu ya simba akisimama kila upande wake mahali pa kuwekea mikono.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kiti hicho kilikuwa na ngazi sita na egemeo la nyuma lilikuwa la mviringo kwa juu. Pande zote za kiti kulikuwa na mahali pa kuegemeza mikono, na simba wawili wakisimama kando ya hiyo mikono.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kiti kile kilikuwa na ngazi sita, na juu yake kimeviringana nyuma; na mikono huku na huko mahali pa kuketi, na simba wawili wakisimama kando ya hiyo mikono.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kiti hicho kilikuwa na ngazi sita. Sehemu ya juu ilikuwa imeviringwa na kiliwekewa mahali pa kuegemeza mkono pande zake mbili; na sanamu za simba wawili zimesimama moja kando ya mahali hapo pa kuegemeza mkono.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hicho kiti cha kifalme kilikuwa na vipago sita vya kukipandia, tena huko nyuma hicho kiti cha kifalme kilikuwa kimeviringana juu. Tena hapo pa kukalia palikuwa na maegemeo huku na huko, nayo mifano miwili ya simba ilikuwa imesimama hapo penye maegemeo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kiti kile kilikuwa na daraja sita, na juu yake kimeviringana nyuma; na mikono huko na huko mahali pa kuketi, na simba wawili wakisimama kando ya hiyo mikono.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kiti hicho kilikuwa na ngazi sita. Sehemu ya juu ilikuwa imeviringwa na kiliwekewa pahali pa kuegemeza mukono pande zake mbili; na sanamu za simba wawili wamesimama mumoja pembeni ya pahali pale pa kuegemeza mukono.